Hivi boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi?

Wasiwasi wako tu baby huyo ndugu yangu wa damu kabisaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ivi hizi na zile ambazo ukivaa zinazoshika mwili kama chupi zipi ndio boxer!!???
 
Hahah naona wadau ni mpaka mapumbu yaanze kuwasha ndio wanatupa na.kununua mpya sio kufua
 
Na vest pia, mara moja,

Sox mara moja,

Kwenye kabati boxa zisipungue 10
Vest 10, sox pea 10, n.k
Vest itategemea na rangi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Itategemea na shunguli gan nafanya....

Kama hainitoi jasho vest navaa siku tatu lbda iwe nyeuoe hii siku mbili tu[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…