Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaa upewe tuzo sasa14 kwa wiki 2 itapendeza,,, kila siku 1 safi thank me later
Vest itategemea na rangi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Itategemea na shunguli gan nafanya....
Kama hainitoi jasho vest navaa siku tatu lbda iwe nyeuoe hii siku mbili tu[emoji16]
Hahahah mi napiga mara moja mkuu, mishe zangu juani sanaa, ivo jasho za hapa na pale,, ila kwa nyie wa viyoyozi hata siku 3 poa tu
Ndo ivoTeh teh teh[emoji16]
Ndo ivo
Dah,nabeba zege
Nimekuwaza tu. Si unajua mambo ya babu na mjukuu?Teh!
Sijui hata umewaza nini my dia babu
Inawezekana manake huyu mzee huwa hanywi maji...ye akisikia kiu anakunywa k vant
Muda wote kalewa
Dah! Hata wewe?Inawezekana manake huyu mzee huwa hanywi maji...ye akisikia kiu anakunywa k vant
Muda wote kalewa
Hujapata ukurutu tu?
Daah,.braza huna kingdom fungi kweli???