Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Zaidi ya mara mbili sasa kituo maarufu zaidi kwa habari nchini. Ghafla tu kinakatiza matangazo na kutuletea breaking news. "BREAKING NEWS: Idadi ya visa vya Corona nchini Kenya yafikia watu 172".. Kwa hali ya sasa ambapo baadhi ya watu wapo quarantine, wengine wanasubiria vipimo ni dhahiri idadi itaogezeka, na sio kwa mara ya kwanza ugonjwa, Breaking news inatokea wapi?