Hivi Bwana mdogo Mohamed Hussen jana alikuwa na hali gani baada ya kipigo? Yule dogo anakeraga sana.

Hivi Bwana mdogo Mohamed Hussen jana alikuwa na hali gani baada ya kipigo? Yule dogo anakeraga sana.

Nilikuwa nasikia tu kwamba kale ka jamaa ni kachawi. Ila kwa hizo tabia kanazoonyesha, nimeamini ni kachawi.
 
Aliyeruhusu Mohamed Hussein aondoke Simba apewe maua yake.. Jamaa alikuwa anafanya makosa yaliyokuwa yanaigharimu Simba lakini panga pangua yupo first eleven na mashabiki wa mnyama huwambii kitu walikuwa wanamkubali vibaya mno.

Hivi na Sele Gomez imukuwaje maana jana hakuwa hata benchi.
 
Hao Maveteran ndiyo wanaigharimu mpaka timu ya Taifa,nilipoona Stars inachezea vipigo , nikajiuliza hivi hawa maveteran ndiyo wanaenda Afcon.
 
Back
Top Bottom