Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
ok.🐒Huyu bwana mdogo huwa anajitahidi sana kuhakikisha simba inafeli, waliokaribu naye waseme yupoje kwa sasa?
Tangu ameondoka mmeshinda mara ngapi?Zimbwe alikua duka lao, tangu ameondoka utopolo wanapata tabu sana.
Mara Mbili Muungano LigiTangu ameondoka mmeshinda mara ngapi?