Hivi CAF wanajua kwa huku Tanzania tukio la kupanga makundi tu limekuwa ni habari ya kitaifa?

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Nadhani wenyewe hawajui ila bora wangeweka HQ yao iwe Dar tu kwakeli.

Huku Tanzania toka jana habari ya mjini ni makundi yaliyopagwa huko CAF champions league na CAF confederation cup.

Hii nchi watu wanapenda mpira kuliko chochote nadhani serikali ifanye jambo kuifanya Tanzania kuwa kama Brazil kwa Africa.
 
Ccm inapenda sana watu wanaoshabikia mpira
Hawa hawana muda na katiba mpya, utekaji, ufisadi, rushwa wala chochote chenye masilahi makubwa kwa taifa
Ni watu wanaopenda kujadili watu na matukio.
 
Ukiona hvyo ujue raia walisha kataa tamaa wameamua wakae upande utakao wapa aman ya moyo na faraja ambayo ni soccer
 
Ccm inapenda sana watu wanaoshabikia mpira
Hawa hawana muda na katiba mpya, utekaji, ufisadi, rushwa wala chochote chenye masilahi makubwa kwa taifa
Ni watu wanaopenda kujadili watu na matukio.
Binafs nawachukieni sana wana siasa.
Nyinyi ndio muliotufikisha hapa.
Nilipogundua kua nchi hii haina mpinzani wakweli, wote wanatuigizia tu, ndipo nikaamua kutafuta furaha kwente soccer, ili nisifuatilie upuuzi (siasa) wenu.

Kiufupi mkuu, wacha watu waishi maisha na wafurahiye wakipendacho, maana kwa hakika maisha yetu ni mafupi tu.
 
naunga mkonyo hoja yako mkuu
 
Nadhani wenyewe hawajui ila bora wangeweka HQ yao iwe Dar tu kwakeli.

Huku Tanzania toka jana habari ya mjini ni makundi yaliyopagwa huko CAF champions league na CAF confederation cup.

Hii nchi watu wanapenda mpira kuliko chochote nadhani serikali ifanye jambo kuifanya Tanzania kuwa kama Brazil kwa Africa.
We unaumia wap
 
Nataka niwape madini watanzania kitu ambacho vijana wa sasa hawajui.Miaka ya sabini mwanzoni tulikuwa sawa kimpira na nchi za afrika magaharibi.Timu za huko ilikuwa wakicheza na timu za TZ aidha wanafungwa au wanaambulia sare ! Sisi level yetu ilikuwa ni Brazil ! Timu kama Santos ya Brazil waliwahi kuja Dar es Salaam kwa mwaliko wa Yanga ! Kitu ambacho leo hii si rahisi.
Ukitaka kujua pia kuwa wa TZ wanapenda mpira ikifika mida ya jioni fanya utafiti barabara ya morogoro kuelekea kibaha njiani kuna viwanja vingapi wanacheza mpira na mara nyingi vinakuwa vimejaa ! viwanja ni vingi manaake watu wanapenda mpira kama ilivo taifa la Brazil ! Kinachokosekana kwetu ni uongozi bora tu !
Sisi tunastahili kuwa taifa bora katika mpira kuliko nchi yoyote ya Africa !
 
Back
Top Bottom