Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Watu wamekataa kutumika na wanasiasa.Ccm inapenda sana watu wanaoshabikia mpira
Hawa hawana muda na katiba mpya, utekaji, ufisadi, rushwa wala chochote chenye masilahi makubwa kwa taifa
Ni watu wanaopenda kujadili watu na matukio.
Wamechagua furaha.
Sasa watu wa mpira ndiyo wanawatumia wanasiasa kufanikisha mambo yao ya mpira na uchumi utokanao na mpira.
Angalia wanasiasa wanavo mwaga pesa kwenye mpira. Eg. Ujenzi viwanja, ahadi za pesa, matamasha ya mpira sijui ' fulani cup', .... n.k.