MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Yanga ndiyo timu pekee ya mpira wa miguu hapa Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la siasa ina kuamulia mambo mengi ya kimaisha maamuzi ya kijinga ya wanasiasa yanatugharimu sote na vizazi vyetuBinafs nawachukieni sana wana siasa.
Nyinyi ndio muliotufikisha hapa.
Nilipogundua kua nchi hii haina mpinzani wakweli, wote wanatuigizia tu, ndipo nikaamua kutafuta furaha kwente soccer, ili nisifuatilie upuuzi (siasa) wenu.
Kiufupi mkuu, wacha watu waishi maisha na wafurahiye wakipendacho, maana kwa hakika maisha yetu ni mafupi tu.
Watz hata ukiwanyima hewa wakitaka kulalamika waletee habari za Simba na Yanga watasahau kila kituNadhani wenyewe hawajui ila bora wangeweka HQ yao iwe Dar tu kwakeli.
Huku Tanzania toka jana habari ya mjini ni makundi yaliyopagwa huko CAF champions league na CAF confederation cup.
Hii nchi watu wanapenda mpira kuliko chochote nadhani serikali ifanye jambo kuifanya Tanzania kuwa kama Brazil kwa Africa.
Kabisa mkuu, labda litokee la kuwagusa/kugusa ugali wao moja kwa moja..Ukiona hvyo ujue raia walisha kataa tamaa wameamua wakae upande utakao wapa aman ya moyo na faraja ambayo ni soccer
Hakuna Wapenda mpira ni ukosefu tu wa ajira, tembelea kwenye center za betting ingia ndani ndio utajuwa nimeandika nini.Nadhani wenyewe hawajui ila bora wangeweka HQ yao iwe Dar tu kwakeli.
Huku Tanzania toka jana habari ya mjini ni makundi yaliyopagwa huko CAF champions league na CAF confederation cup.
Hii nchi watu wanapenda mpira kuliko chochote nadhani serikali ifanye jambo kuifanya Tanzania kuwa kama Brazil kwa Africa.
Naunga mkono hojaCcm inapenda sana watu wanaoshabikia mpira
Hawa hawana muda na katiba mpya, utekaji, ufisadi, rushwa wala chochote chenye masilahi makubwa kwa taifa
Ni watu wanaopenda kujadili watu na matukio.
mkuu umeongea kwa hisia sana na huu ni ukweli mtupu.Binafs nawachukieni sana wana siasa.
Nyinyi ndio muliotufikisha hapa.
Nilipogundua kua nchi hii haina mpinzani wakweli, wote wanatuigizia tu, ndipo nikaamua kutafuta furaha kwente soccer, ili nisifuatilie upuuzi (siasa) wenu.
Kiufupi mkuu, wacha watu waishi maisha na wafurahiye wakipendacho, maana kwa hakika maisha yetu ni mafupi tu.
🤔🤔🤔🤔Ccm inapenda sana watu wanaoshabikia mpira
Hawa hawana muda na katiba mpya, utekaji, ufisadi, rushwa wala chochote chenye masilahi makubwa kwa taifa
Ni watu wanaopenda kujadili watu na matukio.
Idle National, Taifa watu wahana kazi za kufanya unategemea nini?Nadhani wenyewe hawajui ila bora wangeweka HQ yao iwe Dar tu kwakeli.
Huku Tanzania toka jana habari ya mjini ni makundi yaliyopagwa huko CAF champions league na CAF confederation cup.
Hii nchi watu wanapenda mpira kuliko chochote nadhani serikali ifanye jambo kuifanya Tanzania kuwa kama Brazil kwa Africa.
Kama tuu Wapinzani ni Vyama vya msimu wa uchaguzi,sera zao ni kujadili watu na matukio Nje ya hapo hakuna kitu.Ccm inapenda sana watu wanaoshabikia mpira
Hawa hawana muda na katiba mpya, utekaji, ufisadi, rushwa wala chochote chenye masilahi makubwa kwa taifa
Ni watu wanaopenda kujadili watu na matukio.
Dalili za umaskini wa Mali na akiliWatu walikesha jangwani,hakuna pa kukanyaga eti wanafuatilia droo mubashara
Bas itakuwa maisha ni rahis sana huko dasilamWatu walikesha jangwani,hakuna pa kukanyaga eti wanafuatilia droo mubashara
Kazi zipo ila ni wavivi wa kufikiria na kujituma ,wanataka shortcut ambazo hazipo so Wacha Waendelee kushabikia mipira watajuana uzeeni.Idle National, Taifa watu wahana kazi za kufanya unategemea nini?