Hivi CAF wanajua kwa huku Tanzania tukio la kupanga makundi tu limekuwa ni habari ya kitaifa?

Miundombinu ya michezo iboreshwe, mifumo alkafharika ili tuanze kutengeneza wachezaji wenye ubora kama wenzetu. Hapo tutafika mbali zaidi
 
Tatizo la siasa ina kuamulia mambo mengi ya kimaisha maamuzi ya kijinga ya wanasiasa yanatugharimu sote na vizazi vyetu
Lakini kaamuzi ya kijinga ya kwenye mpira yanawagharimu timu na makamaria
 
Watz hata ukiwanyima hewa wakitaka kulalamika waletee habari za Simba na Yanga watasahau kila kitu
 
Ukiona hvyo ujue raia walisha kataa tamaa wameamua wakae upande utakao wapa aman ya moyo na faraja ambayo ni soccer
Kabisa mkuu, labda litokee la kuwagusa/kugusa ugali wao moja kwa moja..
Haohao wanaowadharau kua ni wazee wa mpira 24/7 siku ukijadili nao mambo ya siasa utaona wana mawazo mazuri ila ndo ivo wamejificha huko kwenye mpira kulinda uhai na maslahi yao.
 
Hakuna Wapenda mpira ni ukosefu tu wa ajira, tembelea kwenye center za betting ingia ndani ndio utajuwa nimeandika nini.

Hakuna nchi wanaopenda mpira halafu timu ya Taifa waisuse, au nenda mechi za timu za mikoani uwaone hao wapenda mpira kama wanaenda uwanjani
 
mkuu umeongea kwa hisia sana na huu ni ukweli mtupu.

Naunga mkono hoja yako.
 
Ccm inapenda sana watu wanaoshabikia mpira
Hawa hawana muda na katiba mpya, utekaji, ufisadi, rushwa wala chochote chenye masilahi makubwa kwa taifa
Ni watu wanaopenda kujadili watu na matukio.
🤔🤔🤔🤔
 
Idle National, Taifa watu wahana kazi za kufanya unategemea nini?
 
Yaani qmaamake 2008 lowasa fisadi,2015 siyo fisadi,halafu tukae nyuma yenu tuwapigie makofi,tuandamane na magwanda joto lote hili, acheni ungese,mnapata ruzuku huko,basi endeleeni na maisha yenu
 
Kuna wazalendo ambao kazi yao ni kuponda wapenda soka na kuwaita wajinga, ukiwauliza wakati wajinga wanafuatilia mpira wao walikuwa wanafanyia nini nchi hawana majibu.
 
Kupenda soka ni kama ulevi,Mlevi mara nyingi anakuwa mkweli au yupo straight hapindishi jambo anapozungumza,
Hivyo ni sahihi kabisa mashabiki wa soka bongo kujiingiza kwenye ulevi wa soka kuliko mambo mengine mfano siasa kwasababu kwenye hii nchi siasa haina tija wana siasa wengi ni waongo au wanafiki, machawa,
 
Ccm inapenda sana watu wanaoshabikia mpira
Hawa hawana muda na katiba mpya, utekaji, ufisadi, rushwa wala chochote chenye masilahi makubwa kwa taifa
Ni watu wanaopenda kujadili watu na matukio.
Kama tuu Wapinzani ni Vyama vya msimu wa uchaguzi,sera zao ni kujadili watu na matukio Nje ya hapo hakuna kitu.

Mfano wewe hapo unaijua sera ya Chadema kuhusu Kilimo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…