Hivi CAF wanajua kwa huku Tanzania tukio la kupanga makundi tu limekuwa ni habari ya kitaifa?

Ccm inapenda sana watu wanaoshabikia mpira
Hawa hawana muda na katiba mpya, utekaji, ufisadi, rushwa wala chochote chenye masilahi makubwa kwa taifa
Ni watu wanaopenda kujadili watu na matukio.
Watu wamekataa kutumika na wanasiasa.
Wamechagua furaha.
Sasa watu wa mpira ndiyo wanawatumia wanasiasa kufanikisha mambo yao ya mpira na uchumi utokanao na mpira.
Angalia wanasiasa wanavo mwaga pesa kwenye mpira. Eg. Ujenzi viwanja, ahadi za pesa, matamasha ya mpira sijui ' fulani cup', .... n.k.
 
Kwa waanzania hata serikali ivurunda vipi huwezi kuwasikia wakilalamika, akili zao ziko kwenye mpira tu.
 
Uongozi na mipango ambayo Ina muendelezo imekuwa ni tatizo kwa maendeleo ya soka
 
Na hilo ndo lengo kuu la serikali ya CCM ,watu wawekeze muda mwingi kwenye mambo kama haya ili wao waendelee kupiga mipesa na kutawala bila presha.
 
Na hilo ndo lengo kuu la serikali ya CCM ,watu wawekeze muda mwingi kwenye mambo kama haya ili wao waendelee kupiga mipesa na kutawala bila presha.
Smoke some get fresh air drink water meditate eat healthy you will be fine
 
Ccm inapenda sana watu wanaoshabikia mpira
Hawa hawana muda na katiba mpya, utekaji, ufisadi, rushwa wala chochote chenye masilahi makubwa kwa taifa
Ni watu wanaopenda kujadili watu na matukio.
Ndio maana serikali inanunua magoli kuwapumbaza zaidi wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…