Hivi CAG anajua pesa zinazotumika kwenye haya matamasha yanaendelea nchini.

Hivi CAG anajua pesa zinazotumika kwenye haya matamasha yanaendelea nchini.

kahembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
317
Reaction score
400
Tamasha la sungusungu, mara tamasha la bulabo... Haya matamasha yanatumia pesa za walipa Kodi wa Tz he CAG analijua ilo.
 
Anajua na atapitia hesabu, watapeleka Kwa hausi nyeupe watapiga divai then mambo yanakwisha. ✅
 
CAG ni msukule wa CCM. Gwajima alikuwaga anaifufua zamani. Sahivi anatubatiza majina mara Bashite mara Bi Kidude mara Ponjoro
 
Back
Top Bottom