Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Vipindi vingi vya miziki ni Bongo Fleva, utasikia top ten ya bongo fleva. Hutosikia wanapiga sebene la Nyosh El Sadat wala Patcho. Ila sasa ikitokea Alikiba kaimba sebene kama Chekecha au Mwanadar es Salaam, au Diamond na sebene lake la Waah, utalisikia linapigwa kwenye hivyo vipindi.
Sasa najiuliza hivi category za miziki ya bongo inategemea aliyeimba ni nani?
Hii naiona hata kwenye nyimbo za gospel za siku hizi, mtu anaimba inspiration song ili mradi kataja yesu au mstari mmoja basi watauita gospel pia.