Technically ni ladha zote zinazoimbw bongo, lakini kwa tafsiri ya wengi ni hii miziki za baibuda, rap, hip hop, hawata mention taarab, sebene zenye asili za Congo kama zimo kwenye bongo fleva.Bongo flavor ni nini? Tuanzie hapo kwanza.
Technically ni ladha zote zinazoimbw bongo, lakini kwa tafsiri ya wengi ni hii miziki za baibuda, rap, hip hop, hawata mention taarab, sebene zenye asili za Congo kama zimo kwenye bongo fleva.
Kwasasa naona ladha nyingi za wanaija na sometimes Wasouth ile style ya akina DJ Maphorisa
Kabisa zile origin yake hapa hapa. identity ya Kitz kabisa