Hivi CCM haina uongozi, inakuwaje wanachama wake wanashambuliana mpaka tuhuma za kuwekeana sumu lakini haichukui hatua yoyote?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ukiyafuatilia ya Arusha mjini utashangaa sana na utajiuliza kama chama hicho kina uongozi wa kitaifa.

Kuna ya kutisha na kuogopesha sana yanafanywa na Wahusika wenyewe pamoja na wapambe wao, lakini viongozi wao wa kitaifa wamenyamaza huku wakihangaika kugawa mitungi ya gesi yenye picha za Samia.

Unaambiwa ni balaa! kuna hadi Tuhuma za kuwekeana sumu pamoja na kulogana wazi wazi! Inatisha! Hata hivyo uchunguzi wetu umebaini kwamba haya masuala ya sumu kwa ccm si mageni na wala hayajawahi kuchukuliwa hatua za maana, Nani aliyesahau Sumu aliyolishwa Mangula ndani ya ofisi za ccm lumumba, Pamoja na Polisi kukiri sumu ile lakini nani alichukuliwa hatua?

Ni aibu sana kwa Chama kizee kama hiki kuwaacha Wahuni tena Wageni waharibu amani Arusha, Je wanataka kitokee nini ili waingilie kati?

Screenshot_2025-02-12-15-29-22-1.png
 
View attachment 3251692
KWANZA nakupongeza kwa kukiri kuwa CCM ni chama kikongwe chenye nguvu DUNIANI na ndiyo gumzo DUNIANI kote kwa vyama makini, ila tu ulilokosea wewe siyo msemaji wa ccm hebu kahangaike na machadema yako yanayogombana kila siku yenyewe jkwayenyewe na ile kauli mbiu dhaifu saana kuwahi kutokea duniani ya no reform no election kitu ambacho hakiwezekani kwanchi iliyojaa democrasia kama tanzania niuambie tu UMEFELI PAKUWA SANA
 
Huu msukule kumbe bado upo duniani
 
Kwani kulishana sumu ccm kumeanza Leo au mara hii tuu umesahau matukio ya kuuana kwa sumu na wengine kunusulika ndani ya ccm au hukumbuki alichokiongea yule mzee wao kwamba hawaachiani maji mezani na matukio yote hakuna alie chukuliwa hatua, mimi nakushangaa wewe kwa nini unashangaa
 
KWANZA nakupongeza kwa kukiri kuwa CCM ni chama kikongwe chenye nguvu DUNIANI na ndiyo gumzo DUNIANI kote kwa vyama makini, ila tu ulilokosea wewe siyo msemaji wa ccm hebu kahangaike na machadema yako yanayogombana kila siku yenyewe jkwayenyewe na ile kauli mbiu dhaifu saana kuwahi kutokea duniani ya no reform no election kitu ambacho hakiwezekani kwanchi iliyojaa democrasia kama tanzania niuambie tu UMEFELI PAKUWA SANA
Wewe utakuwa ni mmoja ya wale walifukuzwa na Magu pale UDOM kuwa ni vilaza.
Eti nchi iliyojaa Demokrasia? Demokrasia ni pamoja na kufanya REFORM katika Election ili uwe wa haki kwa wote. Sasa utaogopaje REFORM kama ni nchi ya demokrasia?
Mada zilizokuzidi kimo unge achana nazo tuu
 
Thadei Ole Mushi kada msema kweli wa CCM aliuwawa kwa kulishwa sumu na kada mwenzake wa CCM Gilbert Masawe
Suala la kuwekeana sumu huko kwenye Vyama vya Siasa hasa kwa hicho Chama tawala ni jambo la kawaida kabisa. Wala siyo Kitu Cha kushangaza.

Hususani kwenye nyakati za Uchaguzi Kama hizi, wanasiasa wanapaswa wawe waangalifu Sana kutokana na hujuma za kuwekeana sumu.
 
Ukiyafuatilia ya Arusha mjini utashangaa sana na utajiuliza kama chama hicho kina uongozi wa kitaifa.

Kuna ya kutisha na kuogopesha sana yanafanywa na Wahusika wenyewe pamoja na wapambe wao, lakini viongozi wao wa kitaifa wamenyamaza huku wakihangaika kugawa mitungi ya gesi yenye picha za Samia.

Unaambiwa ni balaa! kuna hadi Tuhuma za kuwekeana sumu pamoja na kulogana wazi wazi! Inatisha! Hata hivyo uchunguzi wetu umebaini kwamba haya masuala ya sumu kwa ccm si mageni na wala hayajawahi kuchukuliwa hatua za maana, Nani aliyesahau Sumu aliyolishwa Mangula ndani ya ofisi za ccm lumumba, Pamoja na Polisi kukiri sumu ile lakini nani alichukuliwa hatua?

Ni aibu sana kwa Chama kizee kama hiki kuwaacha Wahuni tena Wageni waharibu amani Arusha, Je wanataka kitokee nini ili waingilie kati?

View attachment 3251692
Umeleta umbea. Hujawataja
 
Mbona DJ Mbowe alituhumiwa na Msaliti Lissu kuwa amepokea rushwa lakini Saccos ya Chadema haikuchukua hatua zozote!? Kweli wewe ni nyumbu!
 
Mbowe alilegeza nati za tairi ya gari ya zitto kabwe ili apate ajali afe, zito alipoonyesha nia ya kugombea uenyekiti, tundu lisu ajiandae, asifikiri mbowe amekubali kuachia chama kwa roho nyeupe
Uko nje ya mada
 
Back
Top Bottom