Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ukiyafuatilia ya Arusha mjini utashangaa sana na utajiuliza kama chama hicho kina uongozi wa kitaifa.
Kuna ya kutisha na kuogopesha sana yanafanywa na Wahusika wenyewe pamoja na wapambe wao, lakini viongozi wao wa kitaifa wamenyamaza huku wakihangaika kugawa mitungi ya gesi yenye picha za Samia.
Unaambiwa ni balaa! kuna hadi Tuhuma za kuwekeana sumu pamoja na kulogana wazi wazi! Inatisha! Hata hivyo uchunguzi wetu umebaini kwamba haya masuala ya sumu kwa ccm si mageni na wala hayajawahi kuchukuliwa hatua za maana, Nani aliyesahau Sumu aliyolishwa Mangula ndani ya ofisi za ccm lumumba, Pamoja na Polisi kukiri sumu ile lakini nani alichukuliwa hatua?
Ni aibu sana kwa Chama kizee kama hiki kuwaacha Wahuni tena Wageni waharibu amani Arusha, Je wanataka kitokee nini ili waingilie kati?