Hivi Chadema hakuna Chawa na Uchawa? Mbona Bavicha imepoa sana baada ya Mbowe kufeli uchaguzi wa Mwenyekiti?

CCM JF.png
 
Kuna vitu vingi chadema wanatakiwa kuwa navyo. Timu ya machawa timu ya wasuka mipango watu wa IT wafadhili wa ndani nk
 
Wana team ya IT but very small and si maarufu ( hawatakiwi kua due to nature ya siasa zilizopo)
Kuwa na chawa ni kama watakuwa wana copy tacticts zile zile za wapinzani wao

Hazitokuwa na afya mbelen
 
Chawa ni watu wa muhimu sana wana kazi ya kuchochea (mob psychology)
 
Back
Top Bottom