johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
No Reforms, No Election.Nauliza tu kama utaratibu wa Madalali wa siasa yaani Chawa unatumika na huko Chadema
Pale Lumumba hadi Lucas Mwashambwa ana Vichawa vyake na yeye mwenyewe ni Chawa daraja la v
Nawatakia Sabato njema ๐๐น๐ฟ
Wana team ya IT but very small and si maarufu ( hawatakiwi kua due to nature ya siasa zilizopo)Kuna vitu vingi chadema wanatakiwa kuwa navyo. Timu ya machawa timu ya wasuka mipango watu wa IT wafadhili wa ndani nk
Chawa ni watu wa muhimu sana wana kazi ya kuchochea (mob psychology)Wana team ya IT but very small and si maarufu ( hawatakiwi kua due to nature ya siasa zilizopo)
Kuwa na chawa ni kama watakuwa wana copy tacticts zile zile za wapinzani wao
Hazitokuwa na afya mbelen