Hivi CHADEMA mkiondoa slogan yenu ya No reform no sijui nini, mnabakia na nini? Au mtabaki na tone tone?

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,648
Reaction score
2,706
CHADEMA mnasiasa butu sana, hawafanyi transformative politics, huwa mnajidanganya wakati mnajua kabisa nchi yetu ni kubwa kuliko chama cha siasa.

Mbaya zaidi chadema wameshasahau kuwa sifa moja wapo ya chama KUSHIRIKI UCHAGUZI ni kusaini Sheria za maadili ya uchaguzi, na CHADEMA hawakusain, it means wamejiondolea sifa ya KUSHIRIKI UCHAGUZI.

Kwahyo: Kuendekeza slogan zisizo na tija ni kukosa ubunifu kisiasa, kuhamasisha uvunjivu wa sheria ni kujidumaza kisiasa.
 
08DE0C09-618B-4A47-9ADC-9E059382F44B.jpeg
 
Chadema mnasiasa butu sana, hawafanyi transformative politics, huwa mnajidanganya wakati mnajua kabisa nchi yetu ni kubwa kuliko chama Cha siasa.
Mbaya zaidi chadema wameshasahau kuwa sifa moja wapo ya chama KUSHIRIKI UCHAGUZI ni kusaini Sheria za maadili ya uchaguzi, na chadema hawakusain, it means wamejiondolea sifa ya KUSHIRIKI UCHAGUZI.

Kwahyo: kuendekeza slogan zisizo na tija ni kukosa ubunifu kisiasa, kuhamasisha uvunjivu wa sheria ni kujidumaza kisiasa.
Huna exposure ya nje, kama unadhan chadema ndio chama cha kwanza kusema hivyo, tembelea misri, libya, west europe

Kajifunze huko, utagundua chadema si wa kwanza
 
Chadema mnasiasa butu sana, hawafanyi transformative politics, huwa mnajidanganya wakati mnajua kabisa nchi yetu ni kubwa kuliko chama Cha siasa.
Mbaya zaidi chadema wameshasahau kuwa sifa moja wapo ya chama KUSHIRIKI UCHAGUZI ni kusaini Sheria za maadili ya uchaguzi, na chadema hawakusain, it means wamejiondolea sifa ya KUSHIRIKI UCHAGUZI.

Kwahyo: kuendekeza slogan zisizo na tija ni kukosa ubunifu kisiasa, kuhamasisha uvunjivu wa sheria ni kujidumaza kisiasa.

no reforms, no election!

#free Lissu#
 
CHADEMA mnasiasa butu sana, hawafanyi transformative politics, huwa mnajidanganya wakati mnajua kabisa nchi yetu ni kubwa kuliko chama cha siasa.

Mbaya zaidi chadema wameshasahau kuwa sifa moja wapo ya chama KUSHIRIKI UCHAGUZI ni kusaini Sheria za maadili ya uchaguzi, na CHADEMA hawakusain, it means wamejiondolea sifa ya KUSHIRIKI UCHAGUZI.

Kwahyo: Kuendekeza slogan zisizo na tija ni kukosa ubunifu kisiasa, kuhamasisha uvunjivu wa sheria ni kujidumaza kisiasa.
Hamna mnachokijua zaidi ya uzushi,Watu wanataka reforms ili kura zao zilete viongozi wanaowajibika kwao.
 
CHADEMA mnasiasa butu sana, hawafanyi transformative politics, huwa mnajidanganya wakati mnajua kabisa nchi yetu ni kubwa kuliko chama cha siasa.

Mbaya zaidi chadema wameshasahau kuwa sifa moja wapo ya chama KUSHIRIKI UCHAGUZI ni kusaini Sheria za maadili ya uchaguzi, na CHADEMA hawakusain, it means wamejiondolea sifa ya KUSHIRIKI UCHAGUZI.

Kwahyo: Kuendekeza slogan zisizo na tija ni kukosa ubunifu kisiasa, kuhamasisha uvunjivu wa sheria ni kujidumaza kisiasa.
Slogan inayowatetemesha watawala.
 
Yaani unauliza swali halafu unajijibu.
 
Tunabakia na watu.
 
We umeisikia wapi na kwa nani hiyo no reform no sijui nini?
 
Kama polisi tu ni bilionea deni litaachaje kufika trilioni
Hii ngoma ilianzia kwa mkoloni alikuwa akija africa ana deal tu na machifu yaani wao anawapa tu labda shanga au vioo chifu anatoa ama eneo au watumwa ndio watawala wa sasa wanapita mule mule anapatikana kiongozi mmoja anahongwa anakuwa tajiri yeye na familia yake tu kwa gharama ya walio wengi/wananchi.
 
CHADEMA mnasiasa butu sana, hawafanyi transformative politics, huwa mnajidanganya wakati mnajua kabisa nchi yetu ni kubwa kuliko chama cha siasa.

Mbaya zaidi chadema wameshasahau kuwa sifa moja wapo ya chama KUSHIRIKI UCHAGUZI ni kusaini Sheria za maadili ya uchaguzi, na CHADEMA hawakusain, it means wamejiondolea sifa ya KUSHIRIKI UCHAGUZI.

Kwahyo: Kuendekeza slogan zisizo na tija ni kukosa ubunifu kisiasa, kuhamasisha uvunjivu wa sheria ni kujidumaza kisiasa.
Tanzania kwa sasa hakuna uchaguzi bali kuna igizo la uchaguzi. Ni utaahira mkubwa kupoteza muda na raslimali kushiriki upuuzi unaoitwa uchaguzi ilhali tayari INEC ina maagizo toka kwa Samia ya kuitangaza CCM kuwa mshindi kwa 99%.
 
CHADEMA mnasiasa butu sana, hawafanyi transformative politics, huwa mnajidanganya wakati mnajua kabisa nchi yetu ni kubwa kuliko chama cha siasa.

Mbaya zaidi chadema wameshasahau kuwa sifa moja wapo ya chama KUSHIRIKI UCHAGUZI ni kusaini Sheria za maadili ya uchaguzi, na CHADEMA hawakusain, it means wamejiondolea sifa ya KUSHIRIKI UCHAGUZI.

Kwahyo: Kuendekeza slogan zisizo na tija ni kukosa ubunifu kisiasa, kuhamasisha uvunjivu wa sheria ni kujidumaza kisiasa.
CHADEMA ni kundi la great thinkers,ww unawaza kutokana na udogo wa ubongo wako hatukulaumu maana ukifikiri zaidi ya hapo utakufa.
 
Back
Top Bottom