Hivi CHADEMA mkiondoa slogan yenu ya No reform no sijui nini, mnabakia na nini? Au mtabaki na tone tone?

Bunge la ulaya mmefikia wapi au wamewapuuza
Neno “mmefikia” , nadhani ungewatafuta wahusika ila sipo kwenye hilo kundi

Narudi kwenye ushauri, zingukiaa nchi zingine haswa zilizoendelea mtajifunza mengi
 
There is a saying which says, ‘better keep quiet so people think you are a fool than speak and remove all doubt’. It’s just a saying, it may not mean anything
Foolishness is to believe in a dormant mind with an illogical slogan.
 
Hata TANU haikuulizwa na wakoloni kuwa ukiacha slogan ya Uhuru kwanza Nini kingine mtafanya, na hata Kwame Nkrumah na chama chake Cha CPP Hakuulizwa na waingereza kuwa ukiacha slogan ya "seek ye first the political independence and other things shall be added into it" Kuna mambo Gani ambayo wangefanya. Kwahiyo punguza umangaa
CHADEMA mnasiasa butu sana, hawafanyi transformative politics, huwa mnajidanganya wakati mnajua kabisa nchi yetu ni kubwa kuliko chama cha siasa.

Mbaya zaidi chadema wameshasahau kuwa sifa moja wapo ya chama KUSHIRIKI UCHAGUZI ni kusaini Sheria za maadili ya uchaguzi, na CHADEMA hawakusain, it means wamejiondolea sifa ya KUSHIRIKI UCHAGUZI.

Kwahyo: Kuendekeza slogan zisizo na tija ni kukosa ubunifu kisiasa, kuhamasisha uvunjivu wa sheria ni kujidumaza kisiasa.
 
"Hivi CHADEMA mkiondoa slogan yenu ya no reforms no election mnabakia na nini"?
IMG-20240814-WA0001.jpg
 
October tunatiki ✅
Subiri uone USHINDI WA kishindo

"Subiri uone USHINDi wa kishindo"
 
Attachments

  • 6069888-12f2f23d25bbe7fc3516e11af8120993.mp4
    15.1 MB
CHADEMA mnasiasa butu sana, hawafanyi transformative politics, huwa mnajidanganya wakati mnajua kabisa nchi yetu ni kubwa kuliko chama cha siasa.

Mbaya zaidi chadema wameshasahau kuwa sifa moja wapo ya chama KUSHIRIKI UCHAGUZI ni kusaini Sheria za maadili ya uchaguzi, na CHADEMA hawakusain, it means wamejiondolea sifa ya KUSHIRIKI UCHAGUZI.

Kwahyo: Kuendekeza slogan zisizo na tija ni kukosa ubunifu kisiasa, kuhamasisha uvunjivu wa sheria ni kujidumaza kisiasa.
There's an old proverb that says, “The forest was shrinking but the trees kept voting for the axe. For the axe was clever And convinced the trees that because his handle was wood he was one of them.”
 
CHADEMA mnasiasa butu sana, hawafanyi transformative politics, huwa mnajidanganya wakati mnajua kabisa nchi yetu ni kubwa kuliko chama cha siasa.

Mbaya zaidi chadema wameshasahau kuwa sifa moja wapo ya chama KUSHIRIKI UCHAGUZI ni kusaini Sheria za maadili ya uchaguzi, na CHADEMA hawakusain, it means wamejiondolea sifa ya KUSHIRIKI UCHAGUZI.

Kwahyo: Kuendekeza slogan zisizo na tija ni kukosa ubunifu kisiasa, kuhamasisha uvunjivu wa sheria ni kujidumaza kisiasa.
Jikaze basi na wewe mbwa koko au unataka kila mtu ajue kwamba punguani paka shume, fisiemu imekusaidia nini mbwa wewe
 
Back
Top Bottom