Hivi CHADEMA mkiondoa slogan yenu ya No reform no sijui nini, mnabakia na nini? Au mtabaki na tone tone?

Huna exposure ya nje, kama unadhan chadema ndio chama cha kwanza kusema hivyo, tembelea misri, libya, west europe

Kajifunze huko, utagundua chadema si wa kwanza
🤣🤣🤣Kwahyo mmejifunza misr
 
Tanzania kwa sasa hakuna uchaguzi bali kuna igizo la uchaguzi. Ni utaahira mkubwa kupoteza muda na raslimali kushiriki upuuzi unaoitwa uchaguzi ilhali tayari INEC ina maagizo toka kwa Samia ya kuitangaza CCM kuwa mshindi kwa 99%.
October tunatiki ✅
 
Hizi Sheria za maadili Ni zipi?
Na Anayesaini Sheria ni Rais au Chadema?
 
Hayakuhusu, relax. Hii campaign ni Kwa ajili ya Watu wenye Akili timamu tu
 
🤣🤣🤣Kwahyo mmejifunza misr
Kuna mahal nimesema mm cdm?

Tatizo hamna exposure nchi za nje, east europe wameshapitia haya mambo , tembelea dunian ukapne. Usikae nsehem moja, unakosema kufaham mengi
 
Watadai
Katiba mpya
Haki katika mahakama zetu
Wamesema.wata angalia uboreshaji wa mishahara ya watanzania
Wameahidi kutengeneza ajira zaidi kwa vijana
Wameahidi kufuta ufisadi
Wameahidi kuunda serikali ya mapinduzi katika uchumi
Wameahidi mengi saana
Naongezea
Matumizi sahihi ya rasilimali za nchi kwa faida ya Watanzania
Wameahidi kuwekeza katika teknolojia ya ndani kwa kuandaa vijana hata kuwapeleka nje ya nchi
Aisee niendeleee
 
Tunabaki tuna mla mama yako
 
Kuna mahal nimesema mm cdm?

Tatizo hamna exposure nchi za nje, east europe wameshapitia haya mambo , tembelea dunian ukapne. Usikae nsehem moja, unakosema kufaham mengi
Bunge la ulaya mmefikia wapi au wamewapuuza
 
There is a saying which says, ‘better keep quiet so people think you are a fool than speak and remove all doubt’. It’s just a saying, it may not mean anything
 
Utawala wa mamako umekataliwa na Muumba - unakwenda kuanguka rasmi mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…