Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Neno “mmefikia” , nadhani ungewatafuta wahusika ila sipo kwenye hilo kundiBunge la ulaya mmefikia wapi au wamewapuuza
CHADEMA mnasiasa butu sana, hawafanyi transformative politics, huwa mnajidanganya wakati mnajua kabisa nchi yetu ni kubwa kuliko chama cha siasa.
Mbaya zaidi chadema wameshasahau kuwa sifa moja wapo ya chama KUSHIRIKI UCHAGUZI ni kusaini Sheria za maadili ya uchaguzi, na CHADEMA hawakusain, it means wamejiondolea sifa ya KUSHIRIKI UCHAGUZI.
Kwahyo: Kuendekeza slogan zisizo na tija ni kukosa ubunifu kisiasa, kuhamasisha uvunjivu wa sheria ni kujidumaza kisiasa.
Ushindi bila kushindana ni uhainiOctober tunatiki ✅
Subiri uone USHINDI WA kishindo
Hii umeiwahisha mno
October tunatiki ✅
Subiri uone USHINDI WA kishindo
There's an old proverb that says, “The forest was shrinking but the trees kept voting for the axe. For the axe was clever And convinced the trees that because his handle was wood he was one of them.”CHADEMA mnasiasa butu sana, hawafanyi transformative politics, huwa mnajidanganya wakati mnajua kabisa nchi yetu ni kubwa kuliko chama cha siasa.
Mbaya zaidi chadema wameshasahau kuwa sifa moja wapo ya chama KUSHIRIKI UCHAGUZI ni kusaini Sheria za maadili ya uchaguzi, na CHADEMA hawakusain, it means wamejiondolea sifa ya KUSHIRIKI UCHAGUZI.
Kwahyo: Kuendekeza slogan zisizo na tija ni kukosa ubunifu kisiasa, kuhamasisha uvunjivu wa sheria ni kujidumaza kisiasa.
🤣🤣🤣Eti great thinkers
Ukina nina kukula bila mafutaChadema imejaa wajaa laana mfano wako
Chadema imejaa wajaa laana mfano wako
October tunatiki ✅
Subiri uone USHINDI WA kishindo
No Reforms No Election. Mtu mwenye akili timamu hawezi kushiriki hii najisi.October tunatiki ✅
Jikaze basi na wewe mbwa koko au unataka kila mtu ajue kwamba punguani paka shume, fisiemu imekusaidia nini mbwa weweCHADEMA mnasiasa butu sana, hawafanyi transformative politics, huwa mnajidanganya wakati mnajua kabisa nchi yetu ni kubwa kuliko chama cha siasa.