Hivi CHADEMA mkiondoa slogan yenu ya No reform no sijui nini, mnabakia na nini? Au mtabaki na tone tone?

Jikaze basi na wewe mbwa koko au unataka kila mtu ajue kwamba punguani paka shume, fisiemu imekusaidia nini mbwa wewe
Kuna sehemu nimekuta unalalamika umebakwa vp ushaenda kupimwa kituo Cha afya?
 
Rais kumteua jaji ambae ata muapusha badae hiyo sio hoja ?
Rais kumteua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ambae atatangaza matokeo yake unahisi anaweza kutangaza kinyume na aliyempa kiti hicho sio hoja?
Matokeo ya urais yakisha tangazwa hata km wizi uko live haya ruhusiwi kwnd mahakani ambapo huko utamkuta jaji aliyemteua sio hoja?
Nb.mleta uzi ni PONJORO
 
Vp Ile slogan yenu mfu bado ipo
 
Kwa nini usiwaulize CCM kwanza:

Nje ya kuteka, kuua na kuiba kura, huwa wana mbinu nyingine zozote ili kupata ushindi kwenye uchaguzi?
 
CHADEMA hawana slogan ya No reform no sijui. Ni no reforms no election acha kigugumizi kuitamka endeleea kuteseka
 
Kwani nyinyi ccm bila ya kutegemea vyombo vya dola mnaweza kushindana na kushinda uchaguzi?
 
No Reforms No Election
SStronger Together
Tone Tone
Zipo Tele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…