Uchaguzi 2020 Hivi CHADEMA walikuwa wanawaambia nini Wananchi wakati wa kampeni?

Hii uhuni wote tuliutegemea na tulijipanga mapema. Ushahidi ukikamilika mtajua hamjui.

Ila pigo la kwanza atakalopata magufuli ni kutokutambulika kimataifa kama Rais wa Tanzania. Hii ni step yakwanza na mengine yaja.
 
Dua la kuku halimpata mwewe Tanzania mpya inakuja, JPM alikua anapanga team yake miaka mitano iliyopita ulikua chamtoto
Sio kweli
Wafadhili lazima wafanye yao wala sio dua la kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…