GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hawana Akili period.Ruzuku wameanza kuchukua na bado wanawapinga kina Halima??
Nawasubiri na Moto wangu Wanaujua.Ngoja waje
Kwani ruzuku inatolewa kwa kuwaunga mkono kina Halima au ni takwa la kisheria?Ruzuku wameanza kuchukua na bado wanawapinga kina Halima??
Hamna Akili.Hii Chadema ya Mbowe kama haiwatishi mbona mlimuweka Mbowe ndani miezi sita, na mkawaibia kura wagombea wao kwenye uchafuzi mkuu uliopita?
Tumekusikia mke wa Wilbroad Slaa.Halafu mkiambiwa mmepungukiwa Madini ya Akili Vichwani mwenu mnanuna na Kukasirika.
CHADEMA iliyokuwa chini ya Dk. Wilbroad Slaa ilikuwa ya uhakika, yenye Dira, Mikakati, Hamasa, Chachu ya Mabadiliko, Tishio kweli kwa CCM na ilipendwa...
Idiot.Hamna Akili.
Hamna Akili.Kwani ruzuku inatolewa kwa kuwaunga mkono kina Halima au ni takwa la kisheria?
Unazeeka na akili zako zinazidi kuwa za kitoto kila siku.
CHADEMA ya Mbowe ni ya hovyo ila iliyokuwa CHADEMA ya Dk. Slaae ndiyo ilikuwa Imara.Idiot.
Wakiwa ufipa na ofis imechoka walisemwa sana... Kama ofis imewashida je Nchi wataiweza? Now tayar mmebadili goli!!Halafu mkiambiwa mmepungukiwa madini ya akili Vichwani mwenu mnanuna na kukasirika.
CHADEMA iliyokuwa chini ya Dk. Wilbroad Slaa ilikuwa ya uhakika, yenye Dira, Mikakati, Hamasa, Chachu ya Mabadiliko, tishio kweli kwa CCM na ilipendwa na hata sisi akina GENTAMIYCINE tusio na chama chochote huku hata kikipendwa pia kimoyomoyo na kimya kimya na wana CCM wengi.
Hilo jengo jipya mnalotamba nalo sasa hakikisheni linawasaidia ili muweze kuwa na akili ambazo kwa sasa sizioni na ninachokiona sasa ni upuuzi na mambo ya hovyo hovyo.
Kwani wewe una akili?Halafu mkiambiwa mmepungukiwa madini ya akili Vichwani mwenu mnanuna na kukasirika.
CHADEMA iliyokuwa chini ya Dk. Wilbroad Slaa ilikuwa ya uhakika, yenye Dira, Mikakati, Hamasa, Chachu ya Mabadiliko, tishio kweli kwa CCM na ilipendwa na hata sisi akina GENTAMIYCINE tusio na chama chochote huku hata kikipendwa pia kimoyomoyo na kimya kimya na wana CCM wengi.
Hilo jengo jipya mnalotamba nalo sasa hakikisheni linawasaidia ili muweze kuwa na akili ambazo kwa sasa sizioni na ninachokiona sasa ni upuuzi na mambo ya hovyo hovyo.
Anzisheni chama chenu na yeyeCHADEMA ya Mbowe ni ya hovyo ila iliyokuwa CHADEMA ya Dk. Slaae ndiyo ilikuwa Imara.
Hamna Akili.
Moto wa kutukanq na kukashifu watu?Nawasubiri na Moto wangu Wanaujua.