GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Halafu mkiambiwa mmepungukiwa madini ya akili Vichwani mwenu mnanuna na kukasirika.
CHADEMA iliyokuwa chini ya Dkt. Wilbroad Slaa ilikuwa ya uhakika, yenye Dira, Mikakati, Hamasa, Chachu ya Mabadiliko, tishio kweli kwa CCM na ilipendwa na hata sisi akina GENTAMIYCINE tusio na chama chochote huku hata kikipendwa pia kimoyomoyo na kimya kimya na wana CCM wengi.
Hilo jengo jipya mnalotamba nalo sasa hakikisheni linawasaidia ili muweze kuwa na akili ambazo kwa sasa sizioni na ninachokiona sasa ni upuuzi na mambo ya hovyo hovyo.