ninapenda sana kuona uongozi wa vijana ktk nchi hii,alipokatishwa Zitto uenyekiti ili baadae agombee urais niliona kweli wazee wa CHADEMA ni waoga kwa vijana na ndio maana kumekuwa na kambi zikipingana ktk Chaguzi za Mabaraza ya Chadema.sifurahishwi na ukandamizaji wa vijana,vijana mkiamua embu songa mbele usirudi nyuma hakuna wakati wa mtu hapa maana hatuna guarantee ya MAISHA!