Elections 2010 Hivi CHADEMA yupo SLAA na MBOWE tu?

njori

Member
Joined
Aug 10, 2010
Posts
26
Reaction score
0
ninapenda sana kuona uongozi wa vijana ktk nchi hii,alipokatishwa Zitto uenyekiti ili baadae agombee urais niliona kweli wazee wa CHADEMA ni waoga kwa vijana na ndio maana kumekuwa na kambi zikipingana ktk Chaguzi za Mabaraza ya Chadema.sifurahishwi na ukandamizaji wa vijana,vijana mkiamua embu songa mbele usirudi nyuma hakuna wakati wa mtu hapa maana hatuna guarantee ya MAISHA!
 
Sijakuelewa hapo kwenye red.
hebu nifafanulie au yeyote aliye elewa naomba ufafanuzi tafadhali.
 
mbona CCM yupo makamba na tambwe Hiza TU
 
sio mambo ya upeo,kama una upeo ulipashwa kuelezea.nyie ndio mnaodandia trekta kwa mbele
 
Sijakuelewa hapo kwenye red.
hebu nifafanulie au yeyote aliye elewa naomba ufafanuzi tafadhali.

Kwa ujumla haeleweki atakuwa kaugua ugonjwa fulani ila siyo malaria sugu japo unakaribiana na huo.
 
ninapenda sana kuona uongozi wa vijana ktk nchi hii,alipokatishwa Zitto uenyekiti ili baadae agombee urais niliona kweli wazee wa CHADEMA ni waoga kwa vijana na ndio maana kumekuwa na kambi zikipingana ktk Chaguzi za Mabaraza ya Chadema.sifurahishwi na ukandamizaji wa vijana,vijana mkiamua embu songa mbele usirudi nyuma hakuna wakati wa mtu hapa maana hatuna guarantee ya MAISHA!

mh! HOME OF GREAT THINKER!!!
 
Malaria Sugu kabadili Jina???:confused2:

Inawezekana kabadili -- maana hizi ndo zake -- huwa hana kabisa nyingine. Lakini swali lake pia linaweza kuelekezwa pia kwa Lipumba/Maalim, Mrema/Tao, Mtikila/Georgina, Chipaka, Cheyo, Mbatia....etc etc etc....
 
ninapenda sana kuona uongozi wa vijana ktk nchi hii,alipokatishwa Zitto uenyekiti ili baadae agombee urais niliona kweli wazee wa CHADEMA ni waoga kwa vijana na ndio maana kumekuwa na kambi zikipingana ktk Chaguzi za Mabaraza ya Chadema.sifurahishwi na ukandamizaji wa vijana,vijana mkiamua embu songa mbele usirudi nyuma hakuna wakati wa mtu hapa maana hatuna guarantee ya MAISHA!

njori
Join Date
Tue Aug 2010
:welcome:
 
Inawezekana kabadili -- maana hizi ndo zake -- huwa hana kabisa nyingine. Lakini swali lake pia linaweza kuelekezwa pia kwa Lipumba/Maalim, Mrema/Tao, Mtikila/Georgina, Chipaka, Cheyo, Mbatia....etc etc etc....

Inawezekana ni Malaria Sugu au inawezekana ni watu wa UWT wako kazini...wanahaha kila kona kumdhibiti Dkt Slaa
 
ni wadau tu,siasa zinipitie mbali naziogopa kama ukoma!anzisheni vyama na nyie!
 
Hii post yako mkuu haiko clear. Itolee ufafanuzi kidogo ili tuchangie mawazo.
 
ninapenda sana kuona uongozi wa vijana ktk nchi hii,alipokatishwa Zitto uenyekiti ili baadae agombee urais niliona kweli wazee wa CHADEMA ni waoga kwa vijana na ndio maana kumekuwa na kambi zikipingana ktk Chaguzi za Mabaraza ya Chadema.sifurahishwi na ukandamizaji wa vijana,vijana mkiamua embu songa mbele usirudi nyuma hakuna wakati wa mtu hapa maana hatuna guarantee ya MAISHA!
typical example of a GREAT SINKER!!!

How dare you say that wakati chadema has been very forefront kwenye kutoa nafasi kwa vijana kujiexpress...
unajua cheo cha zitto wewe kwenye chadema je unaweza kulinganisha na counterparts CCM au KAFU
Unajua nafasi ya Mnyika? unaweza kuweka pamoja na wale pensioners wa KAFU na CCM?
Umeona role ya Kitila chani ya CHADEMA , je nisawa na wale wazee wanaotumia denture pale lumumba??

Njorii... Just an advice, do your homework before you hit the keyboard, otherwise utakua great sinker or stinker,
 
Hebu wewe kama kijana gombea CCM uwatoe hawa matineja
1.MSEKWA
2.A.ABDALLA
3.KINGUNGE
4.MAKAMBA
5.MALECELA
6.NA KADHALIKA
 
Back
Top Bottom