Pre GE2025 Hivi CHADEMA zaidi ya kujitenga, kuandamana na kususia michakato ya kidemokrasia, inaweza kufanya nini cha maana zaidi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Pamoja na kujitenga, kuandamana na kususia michakato ya kidemokrasia, CHADEMA haijawahi kufanikiwa kubadili hali au uelekeo wa siasa za Tanzania, walau hata kuchochea mabadiliko yoyote yenye tija au ya maana kisheria au kisiasa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote ispokua binafsi ya viongozi wake waandamizi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Je,hali hiyo ni kutokana na kupuuzwa kwa misingi ya kuanzishwa kwake au kukiukwa kwa malengo yake na mamluki wa kisiasa waliojipenyeza kinyemela kwenye chama hicho?

Nini kifanyike ili hatimae chama hicho kijikite katika mapambano ya kidemokrasia yenye tija, badala ya kujikita kutapeli wa pesa za wananchi kidigitali?πŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
 
 
Hivi ccm zaidi ya wizi wa mali za umma kuna kingine wanaweza Fanyia Tz?
 
Ijumaa yote hiii nenda kwa Mumeo ukapate tulizo
 
Hivi hujisikii vibaya kuandika uzushi, uongo na vitu vya kutunga.. Una amani kabisa rohoni? Hivi kweli kabisa huoni mchango wa CHADEMA kwenye siasa za Tanganyika?
 
Hivi hujisikii vibaya kuandika uzushi, uongo na vitu vya kutunga.. Una amani kabisa rohoni? Hivi kweli kabisa huoni mchango wa CHADEMA kwenye siasa za Tanganyika?
elezea wadau gentleman,
zaidi ya kujitenga, kuandamana na kususia michakato ya kidemokrasia ikiwa ni pamoja na chaguzi,

ni kipi hasa chadema wanaweza kufanya na kuchochea kwa maslahi mapana ya waTanzania zaidi ya chuki na utapeli wa pesa za pocket money kidigitali kutoka kwa wananchi maskini?πŸ’
 
Utwapeli wote tunafanyiwa pale lumumba na kwenye korido za hapo.
 
Wape nchi uone kama hitasema ningejua ccm ingekufa tangu zamani
 
Utwapeli wote tunafanyiwa pale lumumba na kwenye korido za hapo.
inawezekanaje uwatapeli watu wachangie pesa kwaajili ya pocket money za viongozi waandamizi wa chadema, halafu ghafla ubadilishe matumizi ya pesa hizo na kuzielekeza kujenga sijui chuo kufundisha vijana kuporomosha matusi na kumbi za harusi 🀣

huo si utapeli wa wazi kabisa gentleman? πŸ’
 
Hivi ccm zaidi ya wizi wa mali za umma kuna kingine wanaweza Fanyia Tz?
Gentleman,
umeelewa au umelewa uzito wa hoja mahususi mezani? Pole πŸ’
 
Unataka wafanye nini kama chama ambacho hakina serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…