Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Pamoja na kujitenga, kuandamana na kususia michakato ya kidemokrasia, CHADEMA haijawahi kufanikiwa kubadili hali au uelekeo wa siasa za Tanzania, walau hata kuchochea mabadiliko yoyote yenye tija au ya maana kisheria au kisiasa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote ispokua binafsi ya viongozi wake waandamizi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Je,hali hiyo ni kutokana na kupuuzwa kwa misingi ya kuanzishwa kwake au kukiukwa kwa malengo yake na mamluki wa kisiasa waliojipenyeza kinyemela kwenye chama hicho?
Nini kifanyike ili hatimae chama hicho kijikite katika mapambano ya kidemokrasia yenye tija, badala ya kujikita kutapeli wa pesa za wananchi kidigitali?🐒
Mungu Ibariki Tanzania