Nimesikia amepanga kuonana na Maafisa wa Serikali, wawakilishi wa Mashirikia ya Kiraia, viongozi wa vyama vya siasa na wazee wa kimila, he is missing the target maana hao sio wahanga wakuu.
Dr. Chakwera alipokutana na Dr. Samia.
Asipokutana na vijana kwa kisingizio chochote labda kwa sababu hawana kiongozi, ataondoka kama alivyokuja.
Madai ya vijana hasa GenZ yanajulika na wamekuwa wakiyaweka wazi kila siku, mojawapo ni Samia ajiuzulu, uchaguzi ufutwe, katiba mpya.
Kama asipo address hayo nina uhakika wa 100% mission ya Chakwera haitofanikiwa.