Hivi Chama na wachezaji wenzako waandamizi wa Simba SC, hamjachukua hongo kweli ili mcheze chini ya kiwango?

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
3,359
Reaction score
6,568
Kiwango alichokionesha Chama, kiungo Punda pamoja na beki za pembeni za Simba zinanipelekea nihisi kuwa kuna umafia mkubwa sana umefanyika kuelekea katika hii mechi ya nusu fainali ya kombe la shirikisho la Azam.

Kuna kila dalili ya wachezaji tajwa kuonesha kuwa wamecheza chini ya viwango vyao kutokana na kupokea bakhshishi kutoka kwa matajiri wa lambalamba.
 
Kiwango alichokionesha Chama, kiungo Punda pamoja na beki za pembeni za simba zinanipelekea nihisi kuwa kuna umafia mkubwa sana umefanyika kuelekea katika hii mechi ya nusu fainali ya kombe la shirikisho la Azam...
Umewaza kama mimi. Yani ktk hali ya kawaida Chama kukosa goli yeye na golikipa ni ngumu kuamini. Labda leo wachezaj wote walilala Disco maana mmmmmm
 
Umewaza km mimi. Yani ktk hali ya kawaida Chama kukosa goli yeye na golikipa ni ngumu kuamini. Labda leo wachezaj wote walilala Disco maana mmmmmm
Kocha aoitakiwa amtoe huyu Mwamba wa Lusaka mapema tu...kwanza kaigharimu timu kwa kukosa nafasi za wazi na pili kucheza mpira kwa kiwango cha chini kana kwamba alitoka kufanya tendo la kibaiolojia masaa machache kabla ya mechi
 
Kiwango alichokionesha Chama, kiungo Punda pamoja na beki za pembeni za simba zinanipelekea nihisi kuwa kuna umafia mkubwa sana umefanyika kuelekea katika hii mechi ya nusu fainali ya kombe la shirikisho la Azam...
Yanga akishinda mnasema ushindi wa bahasha, azam akishinda ushindi wa bahasha ila nyinyi mkishinda ni nguvu moja
 
Kiwango alichokionesha Chama, kiungo Punda pamoja na beki za pembeni za simba zinanipelekea nihisi kuwa kuna umafia mkubwa sana umefanyika kuelekea katika hii mechi ya nusu fainali ya kombe la shirikisho la Azam.

Kuna kila dalili ya wachezaji tajwa kuonesha kuwa wamecheza chini ya viwango vyao kutokana na kupokea bakhshishi kutoka kwa matajiri wa lambalamba.
Mkuu Mkono Mmoja , je Bonus za nyuma wameshalipwa?
 
Kiwango alichokionesha Chama, kiungo Punda pamoja na beki za pembeni za simba zinanipelekea nihisi kuwa kuna umafia mkubwa sana umefanyika kuelekea katika hii mechi ya nusu fainali ya kombe la shirikisho la Azam.

Kuna kila dalili ya wachezaji tajwa kuonesha kuwa wamecheza chini ya viwango vyao kutokana na kupokea bakhshishi kutoka kwa matajiri wa lambalamba.
Walipeni posho wanazodai
 
Umewaza kama mimi. Yani ktk hali ya kawaida Chama kukosa goli yeye na golikipa ni ngumu kuamini. Labda leo wachezaj wote walilala Disco maana mmmmmm
Akina Pele, Ziko, Rossi, Muller, Cryff, Maradona walikosa magoli tena ya wazi kabisa sasa huyo Chama ndio takataka gani, ebu acheni upumbavu bwana.
 
Yanga akishinda mnasema ushindi wa bahasha, azam akishinda ushindi wa bahasha ila nyinyi mkishinda ni nguvu moja
Mashabiki wengi wa simba hawana jema. Nongwa tu ndiyo imewajaa.

Ni siku chache tu zilizopita waliwamwagia sifa kemkem hao akina Chama! Leo wametolewa kwenye mashindano, tayari wamewageuka!
 
Akina Pele, Ziko, Rossi, Muller, Cryff, Maradona walikosa magoli tena ya wazi kabisa sasa huyo Chama ndio takataka gani, ebu acheni upumbavu bwana.
Sasa matusi ya nini. Nani kakukutukana hadi na wewe utukane. Ebu kuwa na adabu au na wewe ni kizazi Cha ushoga. Yani badala ya kujadili kwa hoja wewe unatukana watu wapumbavu. Basi wewe usiye mpumbavu kaa na akili zako. Ila narudia hata km ulikosa malezi ya wazazi wako jaribu kuwa na adabu kwa watu tena usio wajua.
 
Wewe ndio kizazi cha ushoga usiyeona raha bila kutamka hilo neno. Mimi nimeona ni ujinga kuona eti Chama kukosa goli linakuwa ni jambo la ajabu wakati kukosa goli ni jambo la kawaida kwa mchezaji yeyote duniani bila kujali ubora wake.
 
Back
Top Bottom