Kuna uwezekano mkubwa Sana wachezaji wa Simba hawapati mishahara Yao kwa wakati ndio maana wanachukua rushwa ili ku cushion ukali wa maisha.Kiwango alichokionesha Chama, kiungo Punda pamoja na beki za pembeni za Simba zinanipelekea nihisi kuwa kuna umafia mkubwa sana umefanyika kuelekea katika hii mechi ya nusu fainali ya kombe la shirikisho la Azam.
Kuna kila dalili ya wachezaji tajwa kuonesha kuwa wamecheza chini ya viwango vyao kutokana na kupokea bakhshishi kutoka kwa matajiri wa lambalamba.