Kuna uwezekano mkubwa Sana wachezaji wa Simba hawapati mishahara Yao kwa wakati ndio maana wanachukua rushwa ili ku cushion ukali wa maisha.Kiwango alichokionesha Chama, kiungo Punda pamoja na beki za pembeni za Simba zinanipelekea nihisi kuwa kuna umafia mkubwa sana umefanyika kuelekea katika hii mechi ya nusu fainali ya kombe la shirikisho la Azam.
Kuna kila dalili ya wachezaji tajwa kuonesha kuwa wamecheza chini ya viwango vyao kutokana na kupokea bakhshishi kutoka kwa matajiri wa lambalamba.
Kuna kupanda na kushukaUmewaza kama mimi. Yani ktk hali ya kawaida Chama kukosa goli yeye na golikipa ni ngumu kuamini. Labda leo wachezaj wote walilala Disco maana mmmmmm
Kibubu Kiko wazi, Kiko tupu.Hivi Simba wanadai pesa zao
Kisinda yuko nusu final ya caf berkane kucheza TU Cafcc msimu ujao ni hati hati hapo nani kala shavu!?Ila shambuliaji lenye spidi nyumbu KISINDA bado upo kule berkane ànawakimbiza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chama ni mzigo wa vima, sijawahi kumuelewa pamoja na kelele kibao za kumsifia! Kocha angeachwa asajili na kupanga team apendavyo naamini Chama asingetoboa.Kiwango alichokionesha Chama, kiungo Punda pamoja na beki za pembeni za Simba zinanipelekea nihisi kuwa kuna umafia mkubwa sana umefanyika kuelekea katika hii mechi ya nusu fainali ya kombe la shirikisho la Azam.
Kuna kila dalili ya wachezaji tajwa kuonesha kuwa wamecheza chini ya viwango vyao kutokana na kupokea bakhshishi kutoka kwa matajiri wa lambalamba.
Kisinda yupo kwa mkopo kama BalekeIla shambuliaji lenye spidi nyumbu KISINDA bado upo kule berkane ànawakimbiza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]