FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,236
- 2,512
Si mlichagua kwa kishindo? Tulia dawa iwaingieHivi kweli unawezaje kujitembeza bila aibu eti unafanya royal tour, halafu watalii wakija wanakuta nchi ina mgao wa maji na umeme?
Huu mgao ulianza lini? Mbona wananchi hatuna taarifa? Au ndio siasa yenyewe hii?
Una uhakika tulichagua? Umejipiga usahaulifu 2020 ilikuwaje?Si mlichagua kwa kishindo? Tulia dawa iwaingie
Mbona Tanesco walishasema maji yamepungua kwenye mabwawa?Hivi kweli unawezaje kujitembeza bila aibu eti unafanya royal tour, halafu watalii wakija wanakuta nchi ina mgao wa maji na umeme?
Huu mgao ulianza lini? Mbona wananchi hatuna taarifa? Au ndio siasa yenyewe hii?
Kwa hiyo mama alivyochukua kiti ndio vina vikashuka na mabwawa yakakauka.Maji kwa Dar wanasema Ruvu kina kimeshuka.
Nadhani na umeme watasema bwawa linakauka.
😂😂😂 nacheka lakini kwa uchungu.Summer time
Naona wewe una majenereta ya kutosha. Mbona miaka mitano iliyopita kabla ya mama, maji hayakupungua?Mbona Tanesco walishasema maji yamepungua kwenye mabwawa?
Nilishawaambia hii inareflect akili ya hao watu wenye hiyo miaka ya 70, 60, 50.Chanzo ni mafanikio ya ccm ya miaka 61 ya uhuru.
Kwani hata kama niwe nayo au nisiwe nayo ndio itakusaidia nini Kuhusu umeme?Naona wewe una majenereta ya kutosha. Mbona miaka mitano iliyopita kabla ya mama, maji hayakupungua?
Kwa hiyo mama alivyochukua kiti ndio vina vikashuka na mabwawa yakakauka.
Dah nilkuwa nawaza huyu Ni form four au Kwan mpaka uelezwe kuwa Kuna ukame ebu tujitqmbue jmn hii nchi yetu wote kwan chanzo chetu Cha umeme na maji na maji chqnzo chake Ni mvua lazima tuathirike kwa namna moja ama nyingine Kama ni akili ya kuambiwa changanya na zakoHivi kweli unawezaje kujitembeza bila aibu eti unafanya royal tour, halafu watalii wakija wanakuta nchi ina mgao wa maji na umeme?
Huu mgao ulianza lini? Mbona wananchi hatuna taarifa? Au ndio siasa yenyewe hii?
Mkuu, sasa mbona makasiriko? Si ni mimi ndio nafaa kukasirika?Kwani hata kama niwe nayo au nisiwe nayo ndio itakusaidia nini Kuhusu umeme?
Umeme sio blaa blaa kama haupo ni haupo tuu..
Jitoleze upewe wewe Tanesco tuone utakavyotuletea umeme basi maana huwa mna chuki binafsi zisizo na msingi.
Kifo cha Mzee Magu ndio mwanzo wa tabu zote za kijinga na kujitakia...Hivi kweli unawezaje kujitembeza bila aibu eti unafanya royal tour, halafu watalii wakija wanakuta nchi ina mgao wa maji na umeme?
Huu mgao ulianza lini? Mbona wananchi hatuna taarifa? Au ndio siasa yenyewe hii?
Mziki wa Drones za mu-Iran hizoHivi kweli unawezaje kujitembeza bila aibu eti unafanya royal tour, halafu watalii wakija wanakuta nchi ina mgao wa maji na umeme?
Huu mgao ulianza lini? Mbona wananchi hatuna taarifa? Au ndio siasa yenyewe hii?
Chanzo lazima kiwe maji? Tazama nchi zinazokuzunguka je zina migao kama kwenyu?Dah nilkuwa nawaza huyu Ni form four au Kwan mpaka uelezwe kuwa Kuna ukame ebu tujitqmbue jmn hii nchi yetu wote kwan chanzo chetu Cha umeme na maji na maji chqnzo chake Ni mvua lazima tuathirike kwa namna moja ama nyingine Kama ni akili ya kuambiwa changanya na zako