TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
- Thread starter
- #21
Pole mkuu..Kichwa inaniuma mbaya sana tangu jmosi, mafua ni kali inatoa maji sio kamasi,nakohoa pia.
nimeanda kupima apo agakhan ati niko sawa na wamenipatia tudawa twa mafua na twakifua. ila mafua imekaza hatari hadi sioni
huenda korona stage5
Hizi dalili hizii zinanipa mawazo sana usikute ni mzee mzima 19