Hivi Corona bado ipo?

Kichwa inaniuma mbaya sana tangu jmosi, mafua ni kali inatoa maji sio kamasi,nakohoa pia.
nimeanda kupima apo agakhan ati niko sawa na wamenipatia tudawa twa mafua na twakifua. ila mafua imekaza hatari hadi sioni

huenda korona stage5
Pole mkuu..

Hizi dalili hizii zinanipa mawazo sana usikute ni mzee mzima 19
 
Kuna mtu ameandika humu yu wapi mmoja wa viongozi? Akaendelea na kusema isijekuwa kama March 2021. Ukiunganisha nukta utahisi kuna jambo, majuzi kuna uzi ulizungumzia kesi ya askari waliomuua mfanyabiashara wa madini Mtwara, pichani walikuwa masked
Sa mbona hatuambiwi tuji mask kama hali ndio hiyo..?
 
Hii tiba baada ya Magu kufa watu waliikanyagia. Eti haikuwafaa.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Mimi nimewatibu watu nje ya nchi zaidi ya watu 20 wamepona katika nchi 5 tofauti za Ulaya. Atakaye dharau mwache adharau hajaumwa na hayo maradhi ya kutengeneza Katika viwanda aka Korna Virus.
 
Hili wimbi la fluu na uchovu na mimi limenipitia
Nadhani nimelizoa hospital nikoshinda[emoji1787]
Picha limeanza wakati narudi home kichwa kinagonga
Viungo vikaanza kuuma

Nimefika home mwili joto pima temperature ipo above normal..na ninatetemeka sana hadi vipele vya baridi vinatoka.

Nimeenda kuoga alnanusura nizimie...
Ssa mafia ndo yaleeee na koo kavu.


Mungu atuvushe salama wote tunaojisikia hovyo
Na wale watakaougua.


Cha muhimu maji ya limao na tangawizi,saumu kwa mbali iwe ratiba yetu..labda mtu kama ana complications.

Msipanic
Mwili utakaa sawa
Ukijisikiw vibaya sana muone daktari.
 
Hapo kwenye "pilipili kali nyekundu 5" ndo mtihani
 
Pole mkuu
 
Mnapata mafua na mogonjwa mengine yaliyozoeleka mnaanza kusingizia Corona ambayo hata uwepo wake unatatiza kama kweli ilishawai kuwepo au propaganda za matajiri wa kupiga hela kupitia Afya za watu.

Na kuna nchi au basi niishie hapa.
 
Ulikuwa wapi enzi za shujaa ? Kipindi kile ata kupima ilikuwa mwiko
Shujaa Piere liquid aliyelazwa amana kwa corona, au umesahau?
.Walijuwaje kama ana corona bila kumpima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…