Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Yupo busy ananilea mwanaeKaboom vipi ulishampata mdogo wake Heaven Sent au ndio unaugulia tu kimya kimya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo busy ananilea mwanaeKaboom vipi ulishampata mdogo wake Heaven Sent au ndio unaugulia tu kimya kimya?
Hutaki wadogo zako wewe?Yupo busy ananilea mwanae
Hapana, nataka nibaki mwenyeweHutaki wadogo zako wewe?
Umeumizwa na nini tena laaziz?nimeumia sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahHapo kuna mawili
Ukiona kapo ziko motomoto sana humu jeiefu, ujue hao watu hawajakutana laivu bado. Siku wakikutana na kukuta hawafanani kabisa na zile profaili pikcha wanazoweka humu mfano unakuta mdada kaweka picha ya beyonce kumbe yeye yupo kama whoopi goldberg, au mkaka kaweka picha ya will smith wakati ni kijeba kifupi, kina upara na sura kama mhogo mchungu, mahusiano huwa yanakatika ghafla na hautawasikia tena!!
Au wameshakutana na wamekulana, na kawaida watu wakishakulana ule msisimko kunakua hamna tena hapo kila mtu anaanza kutafuta sababu ya kumuacha mwenzake, atakaewahi kuipata ndio mshindi.
The Don Juan
Cc: wapenzi wangu wote!!
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji115] Hapo juu 1. ni ya kwako [emoji8][emoji8][emoji8]Wenye couple zenu mjitokeze hapa lol.
Duuuuh so nimefuatwa na 9 extra? Lol
Uko peke yako! Nilikuwa nakupima imani yako tu! [emoji8][emoji8][emoji8]Duuuuh so nimefuatwa na 9 extra? Lol
Ooooh woooow hapo sasa safi. [emoji7][emoji7][emoji7]Uko peke yako! Nilikuwa nakupima imani yako tu! [emoji8][emoji8][emoji8]
Don Juan ni wako pekee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeumizwa na nini tena laaziz?
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji117][emoji117][emoji117][emoji813][emoji813][emoji813]Ooooh woooow hapo sasa safi. [emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji177][emoji177][emoji93]。*。[emoji175]~[emoji2]xXx[emoji8][emoji8][emoji8][emoji117][emoji117][emoji117][emoji813][emoji813][emoji813]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]Zipo zinatumia ID nyingine.
Wengine wakishapeana umeme basi wanapigana chin.
[emoji23][emoji23]Zimehamia nyuma ya kibodi...
Nimekubebisha wewe kipenzi!unambebisha mwanaume mwingine kumbe