Hivi crane fuso inaweza jibeba kule nyuma yenyewe

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,527
Kwanza poleni na kinachoendelea,ni mda kidogo sikuwepo ndo nimerejea rasmi sasa kwa mapambano.

Wakati nimekaa natafakari nchi yangu tunakoelekea nikawaza kitu nimeshindwa kupata jibu mwenyewe mwenyewe.hivi crane (hizi xinazobeba mizigo kujipakia n kushusha zenyewe mfano wa fuso au magari ya Tanesco yanayobeba nguzo,hivi kwa mfano gari limepata pancha tyre ya nyuma hivi kuna uwezekano wa kujipiga jekilenyewe kwa kutumia ile crane yake kushika pale tunapokanyaga wakati wa kupanda? Yaani ikashushwa ile hookyake ikapa hikw pale alafu likajibeba lenyewe ili mtu kufungua tyre labda je !kuna uwezekano?

Screenshot_20250816-190003_Gallery.jpg
 
Kwanza poleni na kinachoendelea,ni mda kidogo sikuwepo ndo nimerejea rasmi sasa kwa mapambano.

Wakati nimekaa natafakari nchi yangu tunakoelekea nikawaza kitu nimeshindwa kupata jibu mwenyewe mwenyewe.hivi crane (hizi xinazobeba mizigo kujipakia n kushusha zenyewe mfano wa fuso au magari ya tanesco yanayobeba nguzo,hivi kwa mfano gari limepata pancha tyre ya nyuma hivi kuna uwezekano wa kujipiga jekilenyewe kwa kutumia ile crane yake kushika pale tunapokanyaga wakati wa kupanda? Yaani ikashushwa ile hookyake ikapa hikw pale alafu likajibeba lenyewe ili mtu kufungua tyre labda je !kuna uwezekano?
Litajipiga Tanganyika jeki halafu miguu ya nyuma itaning'inia hivyo itashindwa kutembea
 
Nataka kujua kama uwezekano wa kujipiga hiyo tanganyika jeki😆 na ni kwani nini iliitw tanganyika jeki😜
 
Mkuu watakuja kukujibu wajuzi. Karibu tena jukwaani. Ulipotea sana wa kwetu.
 
U
Kwanza poleni na kinachoendelea,ni mda kidogo sikuwepo ndo nimerejea rasmi sasa kwa mapambano.

Wakati nimekaa natafakari nchi yangu tunakoelekea nikawaza kitu nimeshindwa kupata jibu mwenyewe mwenyewe.hivi crane (hizi xinazobeba mizigo kujipakia n kushusha zenyewe mfano wa fuso au magari ya Tanesco yanayobeba nguzo,hivi kwa mfano gari limepata pancha tyre ya nyuma hivi kuna uwezekano wa kujipiga jekilenyewe kwa kutumia ile crane yake kushika pale tunapokanyaga wakati wa kupanda? Yaani ikashushwa ile hookyake ikapa hikw pale alafu likajibeba lenyewe ili mtu kufungua tyre labda je !kuna uwezekano?

View attachment 3443332inawezekana for emergence tu​
 
Uliza Chatgpt au Grok utapata jibu sahihi 💯
 
Back
Top Bottom