Hivi Dar kuna ghorofa/mnara mtu anaweza kulipia na kupanda ili kuangalia mji?

Hivi Dar kuna ghorofa/mnara mtu anaweza kulipia na kupanda ili kuangalia mji?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Miji ya wenzetu utalii wa hivi ni mkubwa sana. Unakuta jengo moja linatembelewa na mamia hadi maelfu ya watu kwa siku.

Vipia kwa Dar, kuna hiyo huduma? Vipi Mwanza na Arusha?
 
Dàr sio mjii na majumba yaliyolundikana kama nyanya za tabata segelea bila mpangilio .....

Huu mji ubomolewe ...!
Ubomolewe kwa faida ya nani sasa, wewe uko tayari kubomolewa nyumba yako ili papangwe?
 
Dàr sio mjii na majumba yaliyolundikana kama nyanya za tabata segelea bila mpangilio .....

Huu mji ubomolewe ...!
Kabomoe kwa bibi ako masikini wewe chuki tu muda wote
Kwa kuwa huna jengo mjiji?
 
Yaani nipande kwenye gorofa niangalie majengo ya sinza na mbagala aisee sio kila kitu cha kuiga nyumba zenyewe na jiji kwa ujumla limekaa shaghla baghla.
 
Yaani nipande kwenye gorofa niangalie majengo ya sinza na mbagala aisee sio kila kitu cha kuiga nyumba zenyewe na jiji kwa ujumla limekaa shaghla baghla.
Watalii wanataka kuangalia hizo hizo kupiga picha.
 
Back
Top Bottom