Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Ubomolewe kwa faida ya nani sasa, wewe uko tayari kubomolewa nyumba yako ili papangwe?Dàr sio mjii na majumba yaliyolundikana kama nyanya za tabata segelea bila mpangilio .....
Huu mji ubomolewe ...!
Kabomoe kwa bibi ako masikini wewe chuki tu muda woteDàr sio mjii na majumba yaliyolundikana kama nyanya za tabata segelea bila mpangilio .....
Huu mji ubomolewe ...!
Watalii wanataka kuangalia hizo hizo kupiga picha.Yaani nipande kwenye gorofa niangalie majengo ya sinza na mbagala aisee sio kila kitu cha kuiga nyumba zenyewe na jiji kwa ujumla limekaa shaghla baghla.