Hivi Dar kuna nini kinachowamaliza wanaume?

Ukekengeushi wa kijinga Sana.

Wanaume wanaendelea kupungua kwa Kasi Sana Duniani.
 
Dah! Tumeshampoteza ndugu yetu mwingine katika imaan. Ukijumlisha na Afande Rama! Kwa kweli hali ni mbaya.
Wewe utakua ulifanywa vibaya na mtu wa hiyo dini,maana sio kwa chuki hizo,utafikiri Malaya aliyekopwa!

Comment zako nyingi hapa jf ni ujinga ujinga tu,unaonekana umri umesonga ila upstairs ni empty.
 
Na Sasa hivi Kila Kona ni matangazo ya kijiunga na free Mansons Ili upate utajiri.

Haya mambo ukiyatazama kwa jicho la ndani yanahitaji maombi na toba ya Hali ya juu. Hawa tunaowaita wameharibika madhara yake yatagusa jamii yoote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…