Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DarTech ndio wapi ? au wamaanisha Dar es Salaam Inst of Technology ?Nimeuliza tu, china ilijengwa kiteknolojia na watundu wa vyuo vya kati.
DarTech, MoshiTech, hatuoni mrejesho wa wasomi wenu
Chini ya utawala wa CCM sahauNimeuliza tu, china ilijengwa kiteknolojia na watundu wa vyuo vya kati.
DarTech, MoshiTech, hatuoni mrejesho wa wasomi wenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuuChini ya utawala wa CCM sahau
DIT ni michongo ina endelea tu pale wala hakuna ma engineerUnataka uone huo Mrejesho wapi au ukiwa wapi?
Waje wakuoneshe nyumbani kwako?
Nakushauri jaribu kufika pale D.I.T ujionee maendelea Makubwa ya Kiteknolojia yanayofanyika mle ndani
Nina hakika ukifanya utakuja hapa kuwapongeza. Ahsante
Nataka niyaone yakiuzwa kariakoo,posta na kwingine, nyingine zinauzwa mpaka nyumbani kwangu, though sio za DartechUnataka uone huo Mrejesho wapi au ukiwa wapi?
Waje wakuoneshe nyumbani kwako?
Nakushauri jaribu kufika pale D.I.T ujionee maendelea Makubwa ya Kiteknolojia yanayofanyika mle ndani
Nina hakika ukifanya utakuja hapa kuwapongeza. Ahsante
Kinachoulizwa kingine na kinachojibiwa ni kingine, mwanzo ulianza vizuri kama msomi ila hapa umepuyanga aseeChadema hata Ofisi imewashinda, wanajaza mimba wanasiasa wa kike pale ufipa, Bora hata zimwi likujualo
Sasa kama ngumu mnasoma vya nini?Unajua flash disk ni nini na inatengenezwa vipi ? Unajua zile silicon chips kuzintengeneza precision inayotakiwa.... Ni sawasawa na kusema kwanini MIT hawafanyi manufacturing (hio sio kazi yao kazi yao ni kutengeneza / nurture Brains) ambazo zinaenda kufanya mambo huku na kule...
Processing silicon wafers is no easy task. Silica sand needs to be refined, lapped, cleaned, and polished. However, hard work pays off, resulting in a wafer disk that can host tons of microchips. Then it's the turn of manufacturing, where experts turn silicon wafers into complex chips used in electronics.
Mleta mada hakuna chuo duniani kinafundisha mtu kutengeneza kitu wao wanakupa knowledge General ya electronics,engineering etc wewe sasa ukaunde kwako kwa ubunifu wakoNimeuliza tu, china ilijengwa kiteknolojia na watundu wa vyuo vya kati.
DarTech, MoshiTech, hatuoni mrejesho wa wasomi wenu
Wanazalisha vingi tu! Hata trafic Light nyingi zilizopo kwenye barabara za Tanzania wanazalisha wao. Dar tech kama Dar Tech awana tatizo . Tatizo ni Siasa zetuNimeuliza tu, china ilijengwa kiteknolojia na watundu wa vyuo vya kati.
DarTech, MoshiTech, hatuoni mrejesho wa wasomi wenu