Hivi Dar Technical wanaweza kutengeneza hata flash disk?

Unataka uone huo Mrejesho wapi au ukiwa wapi?
Waje wakuoneshe nyumbani kwako?
Nakushauri jaribu kufika pale D.I.T ujionee maendelea Makubwa ya Kiteknolojia yanayofanyika mle ndani
Nina hakika ukifanya utakuja hapa kuwapongeza. Ahsante
DIT ni michongo ina endelea tu pale wala hakuna ma engineer

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Unajua flash disk ni nini na inatengenezwa vipi ? Unajua zile silicon chips kuzintengeneza precision inayotakiwa.... Ni sawasawa na kusema kwanini MIT hawafanyi manufacturing (hio sio kazi yao kazi yao ni kutengeneza / nurture Brains) ambazo zinaenda kufanya mambo huku na kule...

Processing silicon wafers is no easy task. Silica sand needs to be refined, lapped, cleaned, and polished. However, hard work pays off, resulting in a wafer disk that can host tons of microchips. Then it's the turn of manufacturing, where experts turn silicon wafers into complex chips used in electronics.
 
Unataka uone huo Mrejesho wapi au ukiwa wapi?
Waje wakuoneshe nyumbani kwako?
Nakushauri jaribu kufika pale D.I.T ujionee maendelea Makubwa ya Kiteknolojia yanayofanyika mle ndani
Nina hakika ukifanya utakuja hapa kuwapongeza. Ahsante
Nataka niyaone yakiuzwa kariakoo,posta na kwingine, nyingine zinauzwa mpaka nyumbani kwangu, though sio za Dartech
 
Unajua flash disk ni nini na inatengenezwa vipi ? Unajua zile silicon chips kuzintengeneza precision inayotakiwa.... Ni sawasawa na kusema kwanini MIT hawafanyi manufacturing (hio sio kazi yao kazi yao ni kutengeneza / nurture Brains) ambazo zinaenda kufanya mambo huku na kule...

Processing silicon wafers is no easy task. Silica sand needs to be refined, lapped, cleaned, and polished. However, hard work pays off, resulting in a wafer disk that can host tons of microchips. Then it's the turn of manufacturing, where experts turn silicon wafers into complex chips used in electronics.
Sasa kama ngumu mnasoma vya nini?

Mi ungeniambia mtaji sawa mengine hayo kelele
 
Flash disc haitengenezwi kiholela hivyo. Kutengeneza chupi na vikombe vya chai hii nchi hatuwezi wewe unazungumzia mambo ya wafers, microchips na precision kubwa ya manufacturing.

China walianza na textiles, kutengeneza vikombe sijui mabakuli, kilimo, ufugaji ndio wakaja automobiles na hatua kubwakubwa.
 
Nimeuliza tu, china ilijengwa kiteknolojia na watundu wa vyuo vya kati.

DarTech, MoshiTech, hatuoni mrejesho wa wasomi wenu
Mleta mada hakuna chuo duniani kinafundisha mtu kutengeneza kitu wao wanakupa knowledge General ya electronics,engineering etc wewe sasa ukaunde kwako kwa ubunifu wako

Acha wa DIT kuna watanzania wamesoma best universities duniani wazungu.kwa waafrika lakini hawajatengeneza chochote huishia kuajiriwa tu

Ubunifu wa kuunda kitu.ni mtu binafsi mwenyewe
 
Nimeuliza tu, china ilijengwa kiteknolojia na watundu wa vyuo vya kati.

DarTech, MoshiTech, hatuoni mrejesho wa wasomi wenu
Wanazalisha vingi tu! Hata trafic Light nyingi zilizopo kwenye barabara za Tanzania wanazalisha wao. Dar tech kama Dar Tech awana tatizo . Tatizo ni Siasa zetu
 
Back
Top Bottom