Hivi Dar Technical wanaweza kutengeneza hata flash disk?

Hivi Dar Technical wanaweza kutengeneza hata flash disk?

Sasa kama ngumu mnasoma vya nini?

Mi ungeniambia mtaji sawa mengine hayo kelele
Nimekupa information kwa ulivyosema kutengenza flash tu (yaani ni kama kitu kidogo sana) dunia nzima sasa hivi vitu ni mass produced hata hizo computers n.k. vifaa vinanunuliwa sehemu fulani vinakuwa assembled (and you don't need top brains kufanya assembly you just need cheap labor kufanya repetitive simpla tasks.... (kutengeneza silicon waffers kampuni kama Intel ime-invest vya kutosha na ina top notch facilities)

Kwahio vyuo / college watu wanapewa basics ili waende kufanya makubwa zaidi, labda useme tatizo hakuna investment na nurturing ya kutosha ya kuweka research units za kuweza kuvumbua vitu. Pia hata wakivumbua ni kwamba watawapa teknolojia manufacturers ambao wataweza ku-scale huo uvumbuzi na kuupatia application ambayo huenda ikawa money making....

By the way usiongelee Chuo au Shule, hata wewe haukatazwi kuvumbua

 
Mtoa mada punguza dharau. Niliwahi kuhudhuria maonyesho ya vyuo vikuu vya Tanzania miaka ya 2010 hivi. Nilijionea project nyingi zinazofanywa na vijana wa vyuo.
Kama maonyesho haya bado yapo kila mwaka ni nafadi nzuri ya watu kama wewe kuhudhuria na kujifunza zaidi toka kwa vijana wa vyuoni
 
Wanazalisha vingi tu! Hata trafic Light nyingi zilizopo kwenye barabara za Tanzania wanazalisha wao. Dar tech kama Dar Tech awana tatizo . Tatizo ni Siasa zetu
Ahsante mkuu, mimi ndo maana nikamwambia nenda pale DIT ukaone Kazi za kiteknolojia zinazofanywa
Kuna hizi trafic lights, kuna vifaa vingi tu vinavyotumika Hospitalini vinazalishwa hapo DIT
Kwa Kazi zinazofanywa pale huyu jamaa sio akinange ivo chuo kile
 
Flash disc haitengenezwi kiholela hivyo. Kutengeneza chupi na vikombe vya chai hii nchi hatuwezi wewe unazungumzia mambo ya wafers, microchips na precision kubwa ya manufacturing.

China walianza na textiles, kutengeneza vikombe sijui mabakuli, kilimo, ufugaji ndio wakaja automobiles na hatua kubwakubwa.
Nimecheka sana kwa sauti
 
Mleta mada hakuna chuo duniani kinafundisha mtu kutengeneza kitu wao wanakupa knowledge General ya electronics,engineering etc wewe sasa ukaunde kwako kwa ubunifu wako

Acha wa DIT kuna watanzania wamesoma best universities duniani wazungu.kwa waafrika lakini hawajatengeneza chochote huishia kuajiriwa tu

Ubunifu wa kuunda kitu.ni mtu binafsi mwenyewe
Mkuu napingana na wewe. Wazungu wanawahujumu sana waafrika.
 
Nimeuliza tu, china ilijengwa kiteknolojia na watundu wa vyuo vya kati.

DarTech, MoshiTech, hatuoni mrejesho wa wasomi wenu
Nadhani hata mafundi simu wa mitaani wana ujuzi kuliko hawa wanachuo
 
Unajua flash disk ni nini na inatengenezwa vipi ? Unajua zile silicon chips kuzintengeneza precision inayotakiwa.... Ni sawasawa na kusema kwanini MIT hawafanyi manufacturing (hio sio kazi yao kazi yao ni kutengeneza / nurture Brains) ambazo zinaenda kufanya mambo huku na kule...

Processing silicon wafers is no easy task. Silica sand needs to be refined, lapped, cleaned, and polished. However, hard work pays off, resulting in a wafer disk that can host tons of microchips. Then it's the turn of manufacturing, where experts turn silicon wafers into complex chips used in electronics.
Kwa hiyo kwa kuwa process ni ngumu inahalalisha wao kushindwa kutengeneza?

Sent from my SM-A507FN using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo kwa kuwa process ni ngumu inahalalisha wao kushindwa kutengeneza?

Sent from my SM-A507FN using JamiiForums mobile app
Kutengeneza ni nini ? , Kama unamaanisha assembly hata wewe hapo ulipo unaweza ?

Kama unamaanisha vifaa vilivyomo (silicon) hizo facility wala precision na hawana hata wakiwa nazo ni waste of resources kuna Kampuni kama Intel ambayo wame-invest mamilioni na wana labs n.k. wanafanya hio kazi na investment yao ina-pay off kwa kufanya marketing na kuuzia wahitaji dunia nzima (specialization and division of labor) uchafu kidogo tu kwenye process ya kutengeneza silicon waffle unaweza ukatupa mzigo wote....

Wale wajikite kwenye research and development, yaani labda tunaweza kutumia vipi nano-technology kuongeza efficiency au kupunguza gharama (na hata wakishagundua hilo watawauzia kina Intel, wachina n.k. ili waendelee na mass production - they are better equipped)
 
Back
Top Bottom