Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Nimekupa information kwa ulivyosema kutengenza flash tu (yaani ni kama kitu kidogo sana) dunia nzima sasa hivi vitu ni mass produced hata hizo computers n.k. vifaa vinanunuliwa sehemu fulani vinakuwa assembled (and you don't need top brains kufanya assembly you just need cheap labor kufanya repetitive simpla tasks.... (kutengeneza silicon waffers kampuni kama Intel ime-invest vya kutosha na ina top notch facilities)Sasa kama ngumu mnasoma vya nini?
Mi ungeniambia mtaji sawa mengine hayo kelele
Kwahio vyuo / college watu wanapewa basics ili waende kufanya makubwa zaidi, labda useme tatizo hakuna investment na nurturing ya kutosha ya kuweka research units za kuweza kuvumbua vitu. Pia hata wakivumbua ni kwamba watawapa teknolojia manufacturers ambao wataweza ku-scale huo uvumbuzi na kuupatia application ambayo huenda ikawa money making....
By the way usiongelee Chuo au Shule, hata wewe haukatazwi kuvumbua
Don't Let Schooling interfere with your Education
Baada ya kuona baadhi ya watu wanadharau shule na wengine kuona kwamba shule ndio kila kitu hadi kujipachika Sifa za Kuelimika nimeona tukumbushane Qoute ya Mark Twain; (Writer, Humorist, Enterpreneur, Lecturer) na School Drop- Out Don't Let Schooling interfere with your Education....... Ni...