Hivi Dar Technical wanaweza kutengeneza hata flash disk?

Hivi Dar Technical wanaweza kutengeneza hata flash disk?

China niliwai fika kwenye Chuo ambapo ndani yake wana kiwanda cha vifaa tiba.Ata UK pia kuna Vyuo vipo na viwanda
Au unamaanisha Kiwanda chenye Chuo ?

Viwanda vyote na big manufacturers wana-invest massively kwenye research and development, hata huku hawashindwi kuwapa funds chuo / vyuo ili wafanye research fulani ya bidhaa ambazo kwa mitizamo yao vina-commercial viability...., Kumbuka viwanda vingi ni repetitive and monotonous tasks, hatuhitaji wala haviitaji creme de la creme kufanya hata any average joe atafanya (hio itakuwa effective lakini sio efficiency)
 
Tatizo hawapewi kipaumbele
Kama wanavyopewa wakina mwijaku babalevel bongo movie mandonga

Ova
 
Nimeuliza tu, china ilijengwa kiteknolojia na watundu wa vyuo vya kati.

DarTech, MoshiTech, hatuoni mrejesho wa wasomi wenu
Fash disk?!, sidhani kama wanaweza kutengeneza bisibisi.
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Nimeuliza tu, china ilijengwa kiteknolojia na watundu wa vyuo vya kati.

DarTech, MoshiTech, hatuoni mrejesho wa wasomi wenu
Dar Tech ndio chuo gani? Sasa km watu wenyewe ni km wewe hayo unayojaribu kuyasema atafanya nani.
 
Unataka uone huo Mrejesho wapi au ukiwa wapi?
Waje wakuoneshe nyumbani kwako?
Nakushauri jaribu kufika pale D.I.T ujionee maendelea Makubwa ya Kiteknolojia yanayofanyika mle ndani
Nina hakika ukifanya utakuja hapa kuwapongeza. Ahsante

Teknolojia ya ndani kivipi?
Zinafika sokoni?
 
Back
Top Bottom