zwangandaba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 747
- 1,404
Kama mwalimu wa chuo kasoma kwa kukariri unatarajia mwanafunzi afanye nni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au unamaanisha Kiwanda chenye Chuo ?China niliwai fika kwenye Chuo ambapo ndani yake wana kiwanda cha vifaa tiba.Ata UK pia kuna Vyuo vipo na viwanda
Fash disk?!, sidhani kama wanaweza kutengeneza bisibisi.Nimeuliza tu, china ilijengwa kiteknolojia na watundu wa vyuo vya kati.
DarTech, MoshiTech, hatuoni mrejesho wa wasomi wenu
Dar Tech ndio chuo gani? Sasa km watu wenyewe ni km wewe hayo unayojaribu kuyasema atafanya nani.Nimeuliza tu, china ilijengwa kiteknolojia na watundu wa vyuo vya kati.
DarTech, MoshiTech, hatuoni mrejesho wa wasomi wenu
Ndio hiyo..DarTech ndio wapi ? au wamaanisha Dar es Salaam Inst of Technology ?
Unataka uone huo Mrejesho wapi au ukiwa wapi?
Waje wakuoneshe nyumbani kwako?
Nakushauri jaribu kufika pale D.I.T ujionee maendelea Makubwa ya Kiteknolojia yanayofanyika mle ndani
Nina hakika ukifanya utakuja hapa kuwapongeza. Ahsante