Hivi Darasa anaimba nini siku hizi?

Hivi Darasa anaimba nini siku hizi?

Impact iliyoletwa na stye aliyoifanya kwenye muziki ndiyo anaendelea nayo wewe unataka afanye kama zamani aimbe contents tupu alafu afe njaa.
 
Impact iliyoletwa na stye aliyoifanya kwenye muziki ndiyo anaendelea nayo wewe unataka afanye kama zamani aimbe contents tupu alafu afe njaa.
Kwa hiyo wasikilizaji wanapendelea zaidi ujinga ujinga
 
Kama walaji wa huduma yake ndio wanapenda hicho anachofanya kwanini abadilishe?
 
Back
Top Bottom