Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Tofauti na ile sikati tamaa,nishike mkono,weekend,na mziki nyingine zote anazotoa siku hizi sijui achia njia,relax ni utumbo mtupu anatakiwa atulie ajipange upya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wasikilizaji wanapendelea zaidi ujinga ujingaImpact iliyoletwa na stye aliyoifanya kwenye muziki ndiyo anaendelea nayo wewe unataka afanye kama zamani aimbe contents tupu alafu afe njaa.
Jamaaa melody ya muziki inamtesaa sanaa...Yani anataka aflow kwenye beat ilee ilee kila nyimboo
Kuna tune..[emoji849]Kwenye bongo fleva kuna melody?
True anabadilisha maneno tu.Jamaaa melody ya muziki inamtesaa sanaa...Yani anataka aflow kwenye beat ilee ilee kila nyimboo
Kuna tune..[emoji849]
Melody nzuri na content wanaopenda ujinga ujinga ni wanaufipa.Kwa hiyo wasikilizaji wanapendelea zaidi ujinga ujinga
Anakwama sanaa..kato minyimbo mingi juzi kati lakini duuh hakuna jipyaa muleeTrue anabadilisha maneno tu.
Itakuwaa[emoji23]Tune ndio km za kina yooooo
hamna kitu hapo,mauza uza tuLeo umeisikikiza??
Chanda chema je??
Relax??