Hivi Darasa anaimba nini siku hizi?

Hivi Darasa anaimba nini siku hizi?

hii nyimbo mpya aliotoa na Maua Sama ni mbovu balaa, halafu mbishi hataki ushauri, unga umempoteza
 
hii nyimbo mpya aliotoa na Maua Sama ni mbovu balaa, halafu mbishi hataki ushauri, unga umempoteza
Mwana anazingua Sana, wimbo mbovu kweli aisee mi nimeuangalia dk moja tuu nikaachana nao
 
Back
Top Bottom